TOP 5: Wachezaji "WANAO-DHARAULIKA" zaidi Tanzania -TPL.

52,719 Views
Published on : May, 02, 2019
Category : Sports

#Under-rated #TPL #SoccerData Mchezo wa Mpira wa miguu una hii tabia. Tabia ya kuwachukulia poa baadhi ya wachezaji licha ya kazi kubwa wanayoifanya uwanjani. Kiukweli ukubwa wa majina yao si sawa na kazi wanayoifanya uwanjani. Uwanjani wanafanya kazi kubwa lakini midomomni hawatamkiki, na hata wakitamkwa basi huwa si kwa wema. Na hii hutokea baada ya kufanya kosa moja, na kwa bahati mbaya mashabiki huwahukumu milele na hata vyombo vya habari huwanyima nafasi hata ya kuwazungumzia kwa mazuri. Kwa ligi ya Tanzania, wachezaji kama hawa wapo wengi lakini Kandanda inakuletea wachezaji watano wanaobezwa zaidi, licha ya uwanjani kufanya kazi nzuri. endelea na makala hii... PLEASE SUBSCRIBE

You maight also like.